HIVII HUU NI UJINGA UTOTO AU USHAMBA KAMA HUJAWAHI KUONA HIZI PIPICHA 5 ZA HAWA WATU AKIFANYA MADUDU,KUMRADHI WASOMAJI
Kiukweli huwa napata wakati mgumu
sana kila nikitazama jinsi wanawake wanavyojidhalilisha katika jamii
yetu jambo linalonifanya niamini kweli wanawake mwalimu wao kipofu na
alishafariki,kifupi picha nazozitumia hapa si ngeni kwenu wadau nadhani
mtakuwa umeshaziona kwa namna moja au nyingine katika mitandao.
Ninayanena haya kwa ujasiri kabisa kwani mtakubaliana na mimi kuwa kila
picha za utupu zikivuja mtandaoni basi anayeonekana kituko ni mwanamke
na sio mwanaume hili limekuwa likinipasua kichwa sana kwani wadada sijui
wanakuwa hawaoni kinachowapata wenzao au nikutafuta umaarufu au sijui
ni kuiga nae aonekane katika mitandao hata sielewi.
Nataka tu mtambue kuwa hili mnalolifanya leo nyie mnapewa sifa za
kijinga ila baadae ni majuto kwani picha hizi zitakutafuna hadi
utakapokufa kiukweli hutaweza kuwa kiongozi wa nchi hii kwa kashfa kama
hii maana kila wakati watatumia picha zako kukudhalilisha na hatimaye
kukuonyesha kama mtu asiyefaa kuwaongoza watu kama ulishindwa kuongoza
mwili wako.
katika jamii hata kama ni la maana watu watakubeza kwakuamini huwezi kuwa sahii kwakupiga picha za uchi Angalizo
Haya wanafunzi mnaoenda kwenye mavyuo na kuanza kuiga staili mpya za maisha au kujifanya watu wa mjini sana mnadhalilisha wazazi wenu!!! wengine hela za kuungaunga halafu nyie mnaangukia huku? acheni kuiga mambo yasiyofaa mbona hatuna utamaduni wa kupiga picha za uchi ? jamani hizi simu zifungiwe tu hata kama utamu wa penzi ndio mpige picha zaa uchi? je wazazi wenu wakiziona watajisikiaje?





Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment