Bahati
Bukuku.
MSIBA mkubwa umeikumba familia ya msanii wa nyimbo za injili, Bahati
Bukuku ya baba yake mzazi Mzee Paul Bukuku kufariki dunia baada kuugua
kwa muda mrefu. Marehemu amefia nyumbani kwa Bahati maeneo ya Tabata,
jijini Dar es Salaam.Akiongea na Mwandishi wetu, Bahati amethibitisha kifo cha baba yake kilichotokea asubuhi ya leo, pia amewataka Watanzania kumuombea katika kipindi hiki kigumu kwake. "Baba yangu amefariki leo baada ya kuugua kwa muda mrefu, nawaomba Watanzania waniombee kwa kipindi hiki kigumu kwangu," alisema Bahati.
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment