TAZAMA TUKIO ZIMA LA WAFANYA BIASHARA KUGOMA KUNUNUA MASHINE ZA TRA ZENYE THAMANI YA THS 800,000 JIJINI MBEYA, MADUKA YAFUNGWA.
Polisi wakiwa katika ulinzi mkali
Maduka yakiwa yamefungwa
Wafanya biashara wakiwa uwanjani kungoja kusikiliza nini hatma
yao
Baadhi ya watu wakiwa wanakimbia Baada ya Mabomu ya machozi
kuanza kurushwa kuepusha vurugu
Mawe yakiwa yamepangwa kuzuia magari yasiende kokote
Maduka yote yakiwa yamefungwa eneo la mwanjelwa kupinga ununuzi
wa mashine hizo za TRA
Vijana hawa wakiwa wana nawa uso baada ya Bomu la machozi
kuwapitia
Jiwe kubwa likiwa limewekwa katika Barabara magari yasipite
Hali tete Tayari vijana wameanza kuchoma mataili.....












Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment