Mwimbaji wa nyimbo za injili toka
nchini Nigeria
ajulikanaye kwa jina la Maheeda amejikuta akitengwa na kanisa
baada ya picha zake za uchi kuvuja….
Taarifa
zinadai kwamba kabla ya kuanza kuimba nyimbo za dini, mrembo
huyo alikuwa akijihusisha na mziki wa kidunia ambao kwa
tanzania unajulikana kwa jina la Bongo Fleva.

Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment