Hatimaye mmiliki wa kasha la
mizigo lililonaswa katika bandari ya mombasa likiwa na sanamu za
vibwengo vya kutisha, amejulikana
Kwa mujibu wa taarifa rasmi,
kampuni ya 'Market Masters' wanaomiliki maduka ya Village Market hapa
Nairobi wamekiri kuagiza shehena hiyo kwa sherehe zao za kila mwaka.
Wakati huo huo, mwanasiasa Omingo Magara amekanusha kuagiza shehena hiyo
na akaitaka halmashauri ya ushuru nchini KRA kumuomba msamaha mara
moja.
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment