Skip to main content
BAADA YA KUKUTANA NA PICHA YAKE HOTELINI HIKI NDICHO ALICHOKIFANYA DIAMOND...!! Mtazame hapa..
Diamond
Platnamz ambae yuko Hongkon kwa sasa, ameamua kutia saini kwenye moja
ya picha yake aliyokuta imebandikwa katika ukuta wa hoteli moja ya
ki-africa, kuonyesha shukrani kwa mmiliki wa hoteli hiyo. Kwambaaali kama naiona picha
ya Wema Sepetu, sasa sijui na yeye amesaini, lol, tutajua baadae
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment