MWANAMKE AVUA NGUO HADHARANI ILI APIGANE NA MPENZI WAKE ALIYESIKIA ANATEMBEA NA DADA YAKE



Msichana huyu pichani alishuka kwenye basi  na kuanza kupigana na mpenzi wake. Yani alifikia hadi hatua ya kuvua nguo ili apate kupambana na mpenzi wake na watu waliokuwa wanashuhudia tukio hilo la aibu.     
Kutokana na taarifa zilizokusanywa na ripota wetu , msichana huyo alikasirika baada ya kujua kuwa mpenzi  wake huyo anamahusiano ya kimapenzi na dada yake mwenye miaka 17.
Hivi ilikuwa kitu sahihi kweli kujidhalilisha yeye na mpenzi wake mbele za watu hivyo?Eti kisa kaibiwa....jamani mambo haya yanatokea kila siku  na maisha yanaendelea yanini sasa kuongezea uharibifu,kuibiwa uibiwe wewe,kuvua nguo uvue wewe,si ndo majanga yenyewe haya?! 

-->

Comments