Skip to main content
UPDATE: MAJAMBAZI YALIYOVAA SARE ZA POLISI YAVAMIA HABIB AFRIICAN BANK NA KUPORA MAMILIONI

Watu wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi ambao
wamevalia sare za Jeshi la Polisi
wamevamia Habib Afriican Bank Kariakoo DSM na kupora kiasi kikubwa cha
Fedha.
Jeshi la polisi kanda maalum wamethibitisha
kutokea kwa
tukio hilo..
Habari zaidi baadae.
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment