Skip to main content
BAADA YA UWANJA WA NDEGE WA JOMO KENYATTA KUWAKA MOTO, ABIRIA WAMEPELEKWA HOTELINI NA NDEGE ZITATUA UWANJA WA MOI
Habari zinasema kwamba baada ya saa tatu za
ku pambana na janga hilo,
hatimaye moto huo umeweza kudhibitiwa na hakuna mtu aliyeripotiwa
kudhurika.
Abiria waliokuwa wanasafiri wamepelekwa
mahotelini na ndege
zilizokuwa zitue JKIA zimeelekezwa kutua uwanja wa kimataifa wa Moi,
Mombasa
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment