| HUYU NI MWANAE BARAKA CHARLES KULWA |
| MAPADRI NDIO WALIONGOZA MISA |
| Pia wanakwaya kama kwaida awakuwa mbali |
| NDUGU JAMAA NA MARAFIKI |
| MKUU WA WILAYA YA BUKOMBE NAE ALIKUWEPO |
| HUYU NI MUHESHIMIWA DIWANI WA RUNZEWE MZEE SAFARI |
| Mkuu wa wilaya akiongea machache kwa watu waliofika hapo. Familia ya marehemu Chalres Kulwa ikiongozwa na Docta Baraka inatoa shukrani kwa wote waliofika. |
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment