“Pesa
huleta jeuri, pesa huleta majivuno, ukiwa na mkwanja hakuna
kinachoshindikana”,
Msemo
huu umejidhihirisha kwa matajiri wa jijini Londoni nchini England chni
ya umiliki wa miaka 10 wa bilionea Roman Abramovinch, klabu ya Chelsea,
baada ya kutangaza kutoa ofa ya pauni milioni 60, mshahara wa laki 2
na elfu 40 kwa wiki , na mkataba mnono wa miaka 5, endao nyota wa
Manchester United, baba mwenye watoto wawili, Wayne Rooney kama
atalazimisha kuihama klabu yake ya Manchester United majira haya ya joto
ya usajili barani Ulaya.
Rooney
ni chaguo la kwanza la kocha wa Chelsea, Mreno Mario Jose Dos Santos
Ferlix Mourinho :The Happy One” katika usajili wa majira haya ya joto,
na tayari mkurugenzu mkuu wa karibu hiyo amemtia moyo wa kumnasa kwani
wapo tayari kumwaga pesa ndefu na kumtia nyavuni.
Japokuwa Rooney
aliambiwa wiki iliyopita na meneja wake mpya David Moyes kwamba
haondoki Old Trafford, lakini kuna mambo ambayo wawili hao bado
hawajakubaliana.
Nyota
huyo aliyetofautiana na kocha wake wa zamani sir Alex Ferguson,
amebakisha miaka miwili katika mkataba wake wa kuichezea United, na
mpaka sasa ameonesha nia ya kuihama klabu hiyo, hivyo Chelsea
wananyemelea nafasi hiyo kumnasa.
Mourinho,
ambaye alianza kuifundisha timu yake kwa mara ya kwanza hapo jana,
anataka kumchukua Rooney ili aanze upya maisha ya soka darajani.
Mourinho
pia anaitaka saini ya Luis Suarez na Gonzalo Higuaini na ameshazungumza
na washauri wake kuhusiana na hilo, lakini nao Arsenal wanamuwinda
Higuain kwa nguvu zote, tusubiri tuone nani mwanaume wa kweli.
position at Liverpool and has asked his advisors to be kept informed
about his position. Arsenal are also monitoring the Uruguayan, but
remain focused on rubber-stamping Gonzalo Higuain’s protracted move from
Real Madrid.
Higuain
amekubali kujiunga na Gunners kwa dili ka kukunja mshahara wa pauni
laki moja na nusu kwa wiki, huku ada ya uhamisho iliyopangwa na Real
Madrid ni pauni milioni 25, wakati Arsenal na Chelsea wanafika 23.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment