OBAMA AMEKWISHATUA NCHINI TANZANIA July 01, 2013 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Rais wa 44 wa Marekanai, Barrack Obama, ametua nchini Tanzania kwa mara ya kwanza muda huu. Rais Jakaya Mrisho Kikwete yupo katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere kwa ajili ya kumpokea mgeni wake huyo. Comments
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment