Skip to main content
MFANYABIASHARA AWAGONGA NA GARI WATU 6 KISA NI WIVU WA MAPENZI
Watu sita wamejeruhiwa vibaya ikiwemo
kuvunjika baadhi ya sehemu
mbalimbali za mwili huku mmoja wao akiwa amelazwa katika chumba cha
wagonjwa mahututi katika hospitali ya taifa ya Muhimbili baada
mfanyabiashara kuwagonga kwa gari huko Bahari beach.
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment