| Neemalucia Joseph a.k.a Neecia Jay. Usijiziulize sana juu ya jina hili kwani huyu ndio aliyetufungulia safu yetu ya Kisura ambapo kila jumatano huwa tunaweka picha za visura mbali mbali kwenye hii Blog yetu.Na leo tumepata mpya toka kwa huyu Kisura wetu ambaye ndiye kama star wa Blog yetu kwani tuko nae bega kwa bega mpaka tuakikishe malengo yake yametimia. Na leo hii KISURA huyu ameitonya SHEBBY D BLOG kuwa mwezi ujao anakuja na kitu kipya na ndio kitamtambulisha kwenye ulimwengu wa muziki wa kizazi kipya. Akiongea na Blog yetu amesema ngoma yake hiyo mpya amefanyia flexible music intertment na jina la nyimbo inaitwa `WAPI NITAMPATA` Anaomba sana mashabiki zake wampokee kwa mikono miwili. Na malego yake nikuwa msanii wa Kimaataifa napia anamkubali sana LADY JAY DEE . Tofauti na mziki kashacheza filamu mbili ambapo hivi punde zitakuwa hewani nazo muda si mrefu. Na nyimbo itapokuwa hewani SHEBBY D BLOG tutairusha. Saport yako inatajika sana ili tutimize malengo ya Kisura huyu. | | |
|
|
|
|
|
|
akomae sasa asiwe muuza sura
ReplyDeletesafi sana mrenbo
ReplyDelete