Msanii T.I.D naye ameingilia kati
tuhuma za Ommy Dimpoz
kumtukana marehemu Albert “Ngwair” kwa kuahidi kumdunda popote
atakapomuon....
Hiki ndicho alichosema msanii TID
kwenye ukurasa wake ea
facebook kuhusu hilo.
“Hawa watoto
wadogo wanakuja na kandambili kuomba kuimba sasa hivi
wanajifanya wao wanazo hela sana na kututusi sisi especially mkali wangu
Albert wallahi mungu atamlaani………mshenzi mkubwa na nikikuona nakupiga.”


Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment