PCHA WATANZANIA WAISHIO SOUTH AFRICA WAKIAGA MWILI WA ALBERT MANGWEH


Tukiwa bado tupo kwenye majonzi makubwa yakupotelewa na ndugu yetu Albert Mangweha.....Baada ya ratiba kupangika watanzania waishio nchini South Africa wamepata nafasi ya kuaga mwili wa Albert Mangweha kuelekea katika safari ya mwisho...wakiongozwa na Msanii Bushoke na Mtoto wa Mhe. Kingunge Ngombale mwiru, Kinjeketile wanaosimamia mipango ya kuaga mwili nchini South Africa

Comments