Skip to main content
MSHIRIKI WA TANZANIA ( FEZA KESSY) KATIKA BIG BROTHER YUKO HATARINI KUTOLEWA...KURA ZAKO ZINAHITAJIKA
Kama hisia za
wengi zilivyokuwa kuhusiana na Betty kulipiza kisasi, mambo yameenda
hivyo..
Betty ambaye ni Head of House wa Diamond house amemuokoa Bolt
na kumuweka kikaangoni Feza..
Katika Ruby house, Selly ambaye ni Head of house huko, naye ametumia
ukuu wake wa kaya kumuokoa Biguesas na kumtia kitanzini Koketso..
Wiki hii Feza, Dillish, Hakeem, LK4 na Koketso wako kikaangoni..
Wakati wa kupiga kura kwa nguvu zote umewadia.. Kazi kwetu watanzania
kumpigia kura wakwetu..
Tuwahimize pia marafiki zetu Africa
kumpigia kura Feza kwani kura zao ni muhimu sana.. -- Kila nchi
inahesabiwa kama kura moja.
Kupiga kura tembelea --> http://bigbrotherafrica.dstv.com/vote/
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment