MISS CHANG'OMBE 2013 waingia Stejini kwa pikipiki ya Toyo..


Warembo wakiingia Stejini kwa pikipiki ya Toyo.
Wakitelemka.

wakifungua shindano kwa kucheza shoo..

Warembo waliofanikiwa kuingia sita bora wakiwa katika picha ya pamoja.

Miss Chang’ombe Nalietha Boniface (katikati) akiwa na mshindi wa pili Naima Ramadhani kushoto na mshindi wa tatu Mutesi George.

Comments