Skip to main content
MCHEKI MTOTO WA KAJALA ALIYEZAA NA P FUNK
Anaitwa Paula mtoto wa mama mwenye
talent na baba mwenye talent, so vipi kuhusu mtoto?. Ofcoz hawezi kukosa
kuwa na kipaji na yeye pia. Baba yake ni famous producer P Funk na mama
yake ni one of the best actress hapa bongo..swali la kizushi ni kwamba
atafuata music kwa baba au movie kwa mama.?
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment