KOFFI OLOMIDE 'MOPAO' APATA AJALI


Mopao Mokonzi alipata ajali jana (21 june)  akiwa ndani ya Hummer la nguvu akienda kupiga concert huko sehemu za Mbanza Ngungu @René, Congo. Ila yupo salama
Gari inavyoonekana kabla ya ajali.
 Inasemekana chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa nguli huyo wa miondoko ya kicongo.

Comments