Skip to main content
HII NDIO KAULI YA KAJALA BAADA KUSADIKIKA KUPIGWA CHINI NA WEMA !!!
“Unajua mi nashangaa sana watu wanatoa wapi maneno
wanayoandika, mimi sina tatizo na Wema, wala siwezi kuwa na tatizo naye,
wema amekuwa msaada mkubwa kwangu, sa sijui nitagombana nini na wema,
huo ni uzushi tuu jamani, muwe mnatuuliza kabla ya kuandika” Alisema
kajala
Alipoulizwa kuhusu ukaribu wake mpya
na wolper alisema
“Wolper nimekutana naye
kwenye party ndo tukaamua kupiga picha, au siku hizi sitakiwi kupiga
picha na mtu mwingine zaidi ya wema? Wolper ni rafiki yangu”
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment