COMORO TOUR:DIAMOND AONEKANA KUFURAHIA MANDHARI YA COMORO June 22, 2013 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Picha hizi mbili zikimuonesha Msanii Diamond Platnumz akiwa nchini comoro akibalizi mandhari ya nchini humo..Picha hii Diamond amepost kupitia mtandao wake wa Instagram na chini aliandikia maneno haya ''Breezin' by the pool side before Hittin' the Stage tonight in Comoro'' Picha Nyingine alipost kupitia tena mtandao wake wa Instagram kupitia account yake inayoenda kwa jina la Diamond Platnumz akiwa na Dancers wake wakonekana wakiwa kwenye bwawa la maji la kuogelea kwenye hotel waliyofikia inayoenda kwa Jina la Retaj Moroni Hotel Picha hii akiwa na silaha za maangamizi stejini kutoka kushoto ni Dumi Utamu,Diamond Platnumz,Rama Tonser &Emma Platnumz.....kwa mbali unaona nini mtu mzima Platnumz kashika nini...hahaha ushajua sio kitu cha kuuliza... Comments
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment