Skip to main content
WAARABU WATATU WALIOHUSISHWA NA MLIPUKO WA BOMU KANISANI WAMEACHIWA HURU
Raia watatu wa
UAE waliokuwa wamekamatwa wakikuhusishwa na tukio la mlipuko wa Bomu
huko Arusha wameachiwa huru na wamesharejeshwa nchini mwao...
Taarifa
zinadai kwamba, Raia hao hawahusiki na mlipuko wa bomu
hilo.Kilichotokea ni kwamba, siku ya tukio walikuwa karibu na eneo
la kanisa na ndo maana walikamatwa...
Raia hao
wameachiwa kwa ushirikiano mkubwa wa ubalozi wa UAE na Tanzania
Unaweza
kutembelea hii link kwa ripoti kamili:
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment