Skip to main content
VURUGU ZA MTWARA ZASABABISHA BUNGE LIAHIRISHWE....
Spika wa bunge , Anne Makinda ameahirisha Bunge
kutokana na hali ya Mtwara na ameiagiza
serikali kuwa kesho wawasilishe taarifa bungeni kuhusiana na hali hiyo.
Makinda ameitisha kamati ya uongozi ili kuona kama wanaweza kutuma
kamati ya Bunge kesho kwenda huko.
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment