Upatapo ama ukiwa na bahati ya kuwa na uhakika wa kupata chakula mala 2 ama 3 kwa siku,uhakika wa sehemu nzuri na salama ya kuweka ubavu wako mshukuru sana mungu,itizame hiyo picha kuna watu wanaaishi hivyo,hawajui siku yaoinaaenzaje na itaishaje,hawajui watakula nini na sa ngapi.mala moja upatapo nafasi,kumbuka kusaidia wasiojiweza,usimpuuze asiye nacho,dunia ni zaidi ya uijuavyo,mambo hubadilika,ukajikuta leo unamwomba uliye mnyimajana
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment