Tetesi zinaweza kuwa
za ukweli au pengine zikawa ni story za kujitungia
Lakini tetesi
zinasema kuwa Matonya alipigiwa simu na wazee wa fitna mara tu
waliposkia kuwa atashiriki onyesho la miaka 13 ya JayDee, wakamwambia
aachane na hiyo show na kuwa watampa hela ambayo angelipwa kwenye show
hiyo.
Na pia
wangemuandalia show yake mwenyewe kubwa zaidi ya hiyo miaka 13 ya JayDee
Hizo ni
fununu, ambazo hazina uhakika.
Lakini
tukirudi upande wa Matonya ambae alishapokea mpaka malipo ya awali na
kukubali kufanya show baadae akachomoa ni kama ifuatavyo.
MATONYA: Kaka
kumbe tarehe ni lini kumbe:
CAPTAIN:
Ni Ijumaa tar 31 May 2013 kaka mwezi ujao. Tutakuwa na Linah, Jay,
Barnaba, Matonya, TID, hamza Kalala
MATONYA: Kaka
kumradh sana kuimba na band kwasasa sitoweza manake mtaitaji mandalizi
makubwa ili nifanye kazi vzr_ningeomba nitizamwe ktk kazi ingine bro
kumradh sana
CAPTAIN:
Du! Nshatangaza ilikuwa kaka lakini sawa. Je ntapata ile hela kka nilipe
wengine ndg yangu
MATONYA: Aisee
hata nimekosa raha kukujuza iliswala br_kesho satano mtampa yule
rafkiangu anaitwa pizon_walikuja kuleta ile pesa yagari kwaio wataileta
apo apo oficen
CAPTAIN:
Sawa kaka usijali, Nitashukuru akiileta ili huku nisipate lawama
MATONYA: ok bro
Mara
kimyaaaaaaa....... baada ya siku mbili tatu maongezi yakaendelea
CAPTAIN:
Naam kaka mzigo haujaletwa. Tafadhali ileteni tu hiyo hela ya watu kaka
mi napewa lawama isitoshe we ni ndugu yangu usikubali hela ndogo
iharibu.
MATONYA: Gadna
aiwezi kuwa ivyo_kuna mapungufu kidgo nayaweka sawa uipate kumradh sana
brother
CAPTAIN:
Asante
Siku ikapita tena
MATONYA: Kaka kdg
kunamisteki nimecheza,, lakini wiki hii haitapita mtakuona bro nimekwama
kaka lakini ntajua cha haraka
CAPTAIN:
Sijaelewa kaka ni laki **** tu kunirudishia nduguyo nilipe wasanii
wengine kwani kuna tatizo au
MATONYA: Bro
naskia haya - skutaka hata kuku2mia msg mlitaka ni2we namzigo 2 ila
kunambio kdg zimekwamisha nikaona bora kukujuza kuliko kukaa kimya bro
tatizo haliwezi
CAPTAIN:
Sawa we ni ndugu yangu, basi nisaidie tu irudi hiyo advance niliyokupa
ili uniepushe na lawama huku kaka. Au niende kwa bimkubwa Tanga
nikalalamike? Ha haaaa haaa
CAPTAIN:
Fanya hivyo mdogo wangu nilitaka uwepo ktk show kwa upendo tu lakini
haijawa, basi nisaidie tu kurudisha hiyo advance maana nadaiwa na
wasanii wengine niwape. Au sio?
MATONYA: Kaka
nibendi ndio haya yangu kwasasa nastaki kuharibu kaziyako bora niwe
mkweli.. Naswala lako halitoki kichwani bro
CAPTAIN:
Sawa jamaa yangu, basi nisaidie ile advance irudi ili niweke mambo sawa
huku, mimi sina mdhamini mpaka leo aliyetoa hela, najitegemea tu
mfukoni, naomba nirudishie nilipe wengine..Au namoro matonya we ni ndugu
yangu?
MATONYA: Sawa
brother mtalisimamia soon nikuweke sawa sawa brother - akuna litakalo
shindikana kaka amini 2
CAPTAIN:
Utarudisha lini nipe uhakika kaka, niko na shida
Adavance ilitoka
tangu mwishoni mwa mwezi April
Mazungumzo ndio
kama hayo mmeyasoma
Mpaka blog inaingia mitamboni leo, advance
haijarudishwa na hakuna jibu la kueleweka.
Wazee wa fitna
kama zile tetesi ni kweli kuwa mmemzuia Matonya asifany hii show ya
miaka 13 ya JayDee, na hela ameshaitumia! Kwanini msimsaidie kuirejesha
mambo yaishe??
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment