Mbunge Msigwa akishuka katika gari hilo la polisi tayari kwa kuelekea
chumba cha mahakama
Mbunge Msigwa akiwa na gazeti mkononi baada ya kufikishwa mahakamani
leo
Watuhumiwa wengine wa vurugu za machinga na polisi wakishuka katika
karandinga la polisi
Wakili wa Msigwa kulia akiteta jambo nje ya mahakama
Kada wa Chadema Frank Mwaisumbe akiingia na viongozi wengine wa chadema
mahakamani hapo huku wafuasi wao wakizuiwa nje ya mahakama
Wafuasi wa Chadema wakiwa wamezuiliwa nje ya viwanja vya mahakama
kuu kanda ya Iringa wakati mbunge alipofikishwa katika mahakamani
mchana huu
Ulinzi mkali kweli kweli

Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment