NEECCIA JAY KISURA WETU NAYE AMEGUSWA NA MSIBA WA NGWEA NA HAYA NDO ALIYOSEMA..

NEECCIA JAY KISURA
MAREHEMU NGWEA


Msiba wa ngwea nimeupokea kwa huzuni sana, sababu ngwea ni miongoni mwa wasanii niliokua nawakubali sana hapa tanzania, pia nilikua napenda sana style yake ya uimbaji.
Alikua bado ni kijana mdogo na naamini alikua na nafasi ya kufanya mambo mazuri zaidi hapa tanzania na nje ya tanzania, ila ndo siku yake ilifika.
Japo kila mtu hufa kwa wakati na style yake, ila kwa taarifa nilizosikia ni kwamba ngwea amefariki kutokana na kuzidisha pombe kali na madawa ya kulevya kama tarifa hizi ni za kweli basi hili litakua ni fundisho.

Comments