Mwanake mmoja nchini Zimbabwe
amekumbwa na balaa la mwaka baada ya kupoteza VIUNGO VYAKE VYA
SIRI ( Uke)....
Mwanamke huyo alikumbwa na balaa
hilo usiku wa kuamkia tarehe 29 mwezi wa nne mwaka huu...
Kwa mujibu wa mtandao wa Standardmedia,
mwanamke huyo alimka usiku na kuelekea chooni kukojoa.Akiwa
chooni, alishangaa kuona mkojo hautoki.Alipojichungulia,Ikulu
ilikuwa IMEZIBWA..!!!
Taarifa zinadai kwamba, mwanamke huyo
alizimia pale pale.
Kwa mujibu pia wa mtandao wa
Zimbabwean ambao nao umeripoti kuhusu tukio hilo, mwanamke huyo
anadaiwa kuwa na tabia chafu ya kutembea na waume za watu, hali
ambayo ilikuwa ikiwakera wanawake wenzie...
Mtandao huo umedai kwamba , katika
siku za hivi karibuni, mwanamke ajulikanaye kwa jina la Mai alimpa
ONYO kali mgoni huyo baada ya kugundua kuwa anatoka kimapenzi
na mume wake na kumtaka aache mara moja...
Baada ya siku chache kupita tangu
onyo hilo litolewe, mwanamke huyo alijikuta amenyofolewa nyeti
zake....

Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment