![]() | |
Mwanadada Jenifah au Mwadawa ni msanii mdogo na mwenye doto nyingi sana, lakini anasema ndoto zake aziwezi kukamilika endapo hatapata sapoti kutoka kwa watu wanaopenda sanaa ya filamu.Akiongea na mwandishi wetu anasema yeye kwa sasa anaishi mji wa Runzewe na anafanya kazi zake yeye mwenyewe bila usimamizi wa mtu.Na ameshacheza filamu mbili mpaka sasa lakini azijafanya poa sana kutoka na kucheza kwa kiwango cha chini sana.Kwani alitumia vifaa vya hali ya chini sana kutokana na uwezo wake ni mdogo sana.Hivyo anasema yoyote anayejua nini maana ya sanaa na anayejua manufaa ya sanaa anaombwa awekeze kwake anaamini atamfanyinyia kitu powa sana kwani yeye mweyewe anajiamini sana kwenye game hili la filamu.
Kwa upande wake anasema yeye anandoto za kuwa kama JAQULINE WOLPER. Anavutiwa sana na uigizaji wa mwanadada huyo naye anasema lazima siku moja awe kama yeye.Pia amesema tofauti na filamu anafanya kazi za mziki na amesharekodi ngoma moja mpaka sasa .Pia ametoa namba zake za simu kwa yeoyote anayeweza kufanya kazi naye afanye mawasliano naye.Hizi hapa namba 0759957715
Kwa upande wa SHEBBY D BLOG inamtakia kila la heli msanii huyu aweze kutimiza ndoto zake.

Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment