Baada ya kutangaza kumpiga chini
Mh.Zitto Kabwe, Loveness Diva ameamua kumchokonoa tena kwa
kumkejeli kuhusu uamuzi wake wa kugombea Urais.....
Huu ni ujumbe wake aliouweka
instagram:
".Ivi kwa akili yako unadhani
unastahili kweli kuwa Rais mteule wa taifa hili....??
"Usiponijibu nikaridhika, basi
ntakuchukulia kama mtu mwenye upeo finyu asiyejua alitendalo.."


Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment