
Waswahili husema ..."Mapenzi ni
UCHIZI"...
Hili ndo tunalolishuhudia kwa Mh
Zitto na Manzi wake MAPEPE ( Loveness Diva ) ambaye ameamua
kumtema na kupeleka penzi lake kwa Prezzo wa Kenya....
Kwanza ulianza ujumbe wa kumpongeza
Prezzo na ahadi ya kumtema RAIS WETU MTARAJIWA....
Baaye
kikafuata KIBUTI kwa mh. Mbunge.


Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment