BAADA YA UK TOUR&CONGO DIAMOND YUKO STUDIO AKIANDAA TRUCK MPYA


Diamond ni hard worker&hard working siku zote hulipa,Baada ya ziara ya UK then Congo&Burundi
amerudi leo siku ya jumatano and TEENTZ imeongea nae usiku huu na kusema yuko studio akipika mzigo mwingine
mpya ,kumbuka kwa mwaka huu kesha achia single mbili zinazofanya vizuri Ukimwona&mapenzi basi.

Comments