| H. Baba akionesha pipi zake. |
Katika kuonesha kwamba bado ana kiu ya kuona sanaa yake inapanuka na kuvuma mbali huku akiboresha maisha yake, kukuza kipato na kuongeza ufanisi , msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini H. Baba ameamua kujikita katika biashara kwa style ya kipekee kwa kuingiza sokoni bidhaa aina ya pipi zenye jina, picha na chata zake, pipi zinazojulikana kwa jina la "H. BABA & FLORA MAPENZI KWA WATOTO".
Pipi
hizo zilizopambwa kwa picha ya H. Baba katika karatasi ya kuishika
pipi, zikipambwa na mfuko wa nylon wenye uzito wa gram 250 uliona picha
ya mwanamuziki H. Baba na mwigizaji wa Bongo movie Flora Mvungi na
zinazo
tengenezwa na kampuni ya TANFRIK LIMITED
ya Nairobi nchini Kenya, tayari zimeanza kuuzwa kwenye baadhi ya
maduka na vibanda mbalimbali vya biashara kanda ya ziwa.
![]() |
| Muonekano wa mbele. |
![]() |
| Muonekano wa nyuma. |



Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment