MAJANGA NDANI YA DAR MATANKI MAWILI YAANGUKA NA KUVUNJA NYUMBA YA JIRANI......


Katika tukio lingine lililotokea Jijini dar....matanki mawili yenye ujazo wa lita 5,000...

Yalidondoka Mjini Mitaa ya Indhira /Ghandhi kutoka juu ya jengo la ghorofa

13 na kuvunja nyumba ya Jirani...!!


Tanki hizo zilikuwa zinafungwa juu ya ghorofa ilo na matanki hayo alikuwa ayajawekewa

vizuizi vyovyote na mkandarasi....


Naomba kuuliza wadau....,Matanki ya lita ngapi yanahitajika kwenye na kuruhusiwa kisheria

Juu ya Maghorofa...?? na kwenye tukio kama hili nani awajibishwe...??

CRB,MKANDARASI AU MMILIKI WA JENGO?


SEHEMU YA JUU YA NYUMBA YA JIRANI ILIYOARIBIWA NA

UZITO WA MATANKI HAYO....



Comments