KISURA WETU WA WIKI SIKU YA LEO NI GRORY SWAI MCHEKI AKIWA KWENYE POZI TOFAUTI

Shebby D Blog kama kawaida yetu siku ya J, tano tunakudondoshea mrembo ambaye anavutia kwa watu na mwenye sifa za ukweli ili apambe kurasa yetu. Siku ya leo tunae kisura mpya anaitwa GRORY SWAI .
Pozi la ukweli

Mtoto wa kike kawaida yake kujitupia
Utalipenda tu pozi langu kama utaki una roho mbaya

Comments