Mjasiriamali huyo wa mjini, katika habari hiyo jina lake lilifichwa lakini sasa tunalianika kwa jina moja la Sheila ambaye makazi yake ni Kinondoni jijini Dar.
Habari za moto zilizopatikana kutoka kwa vyanzo makini, vimepenyeza maelezo ya kutosha kuhusu ‘mjasiriamali’ huyo kuwa ni moto wa kuotea mbali kwa vigogo.
“Sheila ni
mjanja sana, ana
mawasiliano ya vigogo wengi ndiyo maana anawapata kirahisi lakini sasa
sijui hii akili ya kijinga ya kupiga picha chafu anaipata wapi. Kwa mtu
anayefikiri sawasawa hawezi kufanya upuuzi kama huu,” kilieleza
chanzo
chetu kwa sharti la kutoandikwa jina lake
Folda lenye picha chafu za dada huyo zilizopigwa katika mikao ya kihasarahasara (haziwezi kuachwa wazi) zipo kwenye dawati la Ijumaa kama ushahidi.....
Folda lenye picha chafu za dada huyo zilizopigwa katika mikao ya kihasarahasara (haziwezi kuachwa wazi) zipo kwenye dawati la Ijumaa kama ushahidi.....

Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment