Skip to main content
HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA MECHI YA MAN UTD NA REAL MADRID
Mshambuliaji
wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo, akiifungia timu yake bao la pili na
la ushindi katika mchezo wao dhidi ya Manchester United kwenye uwanja wa
Old Trafford jijini Manchester.
-->
Beki wa Real Madrid, Sergio Ramos, akijifunga na
kuwafanya Man Utd kuongoza kwa bao 1-0 wakati wa mchezo huo.
Kiungo wa Real Madrid, Luka Modric, akipiga
shuti lililokwenda moja kwa moja langoni mwa Man Utd na kufanya matokeo
yawe 1-1 wakati mchezo ukiendelea.
Luis Nani wa Manchester United akisikitika baada
ya kuonyeshwa kadi nyekundu.
Patashika langoni mwa Real Madrid.
Sergio Ramos akimvuta jezi mshambuliaji wa Man
Utd, Danny Welbeck.
Baadhi ya mabango ya
kumkaribisha Cristiano Ronaldo Man Utd.
Ronaldo baada ya kuifungia
timu yake bao la ushindi.
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment