HAYA NDIO MAMBO MATATU MAKUU ALIYOSEMA RAIS KIKWETE KWEYE HOTUBA YA MWISHO WA MWEZI...


1.Mpango wa Amani, Usalama na Ushirikiano waJamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

 - Tarehe 8 Februari, 2013 kule Addis Ababa, Ethiopia,Rais Kikwete alisaini Mpango wa Amani, Usalama na Ushirikiano wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na jirani zake  ili  usaidia  kurejesha  amani  Kongo.


2.Uhusiano wa Waislamu na Wakristo 
Serikali haitasita kuwachukulia hatua wale wote wanaochochea chuki za kidini, wanaodharau vitabu vitakatifu vya dini nyingine na wanaokejeli dini nyingine.

Rais amewakumbusha Polisi na mamlaka husika kote nchini wasifanye ajizi kwenye matukio ya namna hiyo.

3 Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne Mwaka 2012
-Rais Kikwete amekiri  kuwa matokeo hayo ni mabaya kuliko matokeo mengine ya mtihani huo ya miaka ya hivi karibuni. 
-Rais Kikwete  amewataka  wananchi  washiriki kikamilifu  katika  utoaji  wa  maoni  kwa  tume  itakayoundwa  kuchunguza ubovu wa matokeo hayo

Kwa  hotuba  nzima  << BOFYA  HAPA>>

Comments