![]() | |
| Mambo ya madini |
![]() |
| Wifi yetu katika pose |
![]() |
| Wapendanoooooooo safi sana |
![]() |
| Full kuringishia madini!! |
Weekend hii, mtu mzima Sunday Mjeda aka Linex aka Mr VOA (Voice Of
Africa),alifanya yake kwa kumvisha pete mpenzi wake, ambae ni ambae ni
mwenyeji wa Finland anaeitwa Suvi.
According to sources Linex aliamua kufanya kimya kimya tena wakiwa
wawili tu, kwasababu hakutaka kujionyesha, na anaamini ile ni kitu very personal haikuhitaji manjonjo
mengi.
Well hongera zao na tunawatakia kila la kheri.




Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment