Waziri wa Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo Dk Fenella Mkangalla Kikosi Cha Timu ya Twiga Stars Kinayotarajiwa Kucheza Mchezo wa Marudiano na Timu ya Ethiopiia.
Waziri wa Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mkangalla akisalimiana na mmoja wa
Kamanda wa kikosi cha Jeshi la kujenga Taifa cha Ruvu JKT wakati
alipokwenda kutembelea kikosi cha Timu ya Tiwiga Stars kinayotarajiwa
kucheza mchezo wa marudiano na timu ya Ethiopiia.
Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mkangalla
akisalimiana na Kaimu Kamanda wa Kambi ya Kikosi cha Jeshi la Kujenga
Taifa (JKT) cha Ruvu Meja Alex Kakwaya wakati alipokwenda kutembelea
kikosi cha Timu ya Tiwiga Stars kinayotarajiwa kucheza mchezo wa
marudiano na timu ya Ethiopiia.

Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenela Mkangalla
akisisitiza jambo kwa kikosi cha Timu ya Taifa ya Twiga Stars (hawapo
Pichani) wakati alipotembelea kikosi hicho kilichopo mazoezini
kujiandaa na mchezo wa marudiano na timu ya Ethiopia kwenye kambi ya
Jeshi la Kujenga Taifa Ruvu JKT, Kulia kwake ni Kaimu Kamanda wa Kambi
ya Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) cha Ruvu Meja Alex Kakwaya
na kushoto kwake ni Luteni Rhoda Matonya.

Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenela Mkangalla
akiteta jambo na Kaimu Kamanda wa Kambi ya Kikosi cha Jeshi la
Kujenga Taifa (JKT) cha Ruvu Meja Alex Kakwaya wakati alipokwenda
kutembelea kikosi cha Timu ya Twiga Stars kinachotarajiwa kucheza
mchezo wa marudiano na timu ya Ethiopiia.
Kaimu
Kamanda wa Kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa cha Ruvu (JKT ) Meja
Alex Kakwaya akiteta jambo na Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya
Michezo Bi. Juliana Yassoda wakati ugeni wa Wizara ulipokwenda
kutembelea kikosi cha Timu ya Twiga Stars kilichopo mazoezini kujiandaa
na mchezo wa marudiano na timu ya Ethiopia kwenye kambi ya Kikosi cha
Ruvu JKT.
Baadhi ya Wachezaji wa Kikosi cha Timu ya Taifa ya Twiga Stars
wakimsikiliza Mheshiiwa Dkt Fenella Mkangala wakati alipowatembelewa
kwenye kambi ya Kikosi cha Kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa Ruvu JKT
jana.Picha na Benjamin Sawe-Wizara
ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment