|
| Moja ya picha ya Timbulo na Rose Ndauka wakiwa location |
|
| -------------------------- |
Msanii
wa bongo fleva Ally Timbulo maarufu kama Timbulo ivi sasa yuko katika
michakato ya kufanya movi ambayo inaitwa "Ulimwengu
wa faida" lakini pia
katika movi hiyo wako mastaa wengine kibao kama Mzee Chiro, Hemed PHD
huku Rose Ndauka pamoja na timbulo ndo watakua wahusika wakuu katika
movi hiyo.
Msanii
huyo ameamua kuingia katika bongo movi baada ya comenti nyingi
sana kutoka kwa mashabiki wake kuwa anauwezo wa kufanya filamu kutokana
na vipande ambavyo huwa anaigiza katika video zake za muziki.
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment