Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi
Dkt.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akitoa salamu ya Mwisho kwa mwili wa
Marehemu
Padri Evarest Mushi,katika Kanisa la Minaramiwili Mjini Zanzibar, Padri
Gabriel
Mushi,aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasijuilikanwa Jumapili
iliyopita,na atazikwa leo Kijini Kitope Wilaya ya Kaskazini B
Unguja,(katikati)
Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar Augustino Shao.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi
Dkt.Ali Mohamed Shein,akiwasalimia wananchi wakati alipofika katika
Kanisa la
Minaramiwili Mjini Zanzibar kutoa salamu ya Mwisho kwa Padri Evarist
Gabriel
Mushi,aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasijuilikanwa Jumapili
iliyopita,na atazikwa leo Kijini Kitope Wilaya ya Kaskazini B Unguja.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dkt.Ali Mohamed Shein,akitia saini kitabu cha maombolezi ya Padri
Evarist
Gabriel Mushi,katika Kanisa la Minaramiwili Mjini Zanzibar,ambapo
alifika kutoa
salamu ya mwisho kwa Padri huyo,aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu
wasijuilikanwa Jumapili iliyopita,na atazikwa leo Kijini Kitope Wilaya
ya
Kaskazini B Unguja,(kushoto) Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la
Zanzibar Augustino
Shao.
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment