Baadhi ya wafuasi wa Shekh Ponda wakiwa
wamekamatwa kwa tuhuma za kufanya maadamano bila kibali cha polisi.
Zoezi la kuwakamata na kuwapeleka polisi watuhumiwa hao
likiendelea chini ya ulinzi mkali.
Magari mbalimbali yakiwa yamebeba askari
Polisi yakipita mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es salaam.
Ulinzi
ulikuwa ni mkali sana. Polisi wa Pikipiki wakiwa kazini leo.
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment