
Msanii wa Filamu za kuchekesha hapa nchini maarufu kama Kitale, jana
amesherehekea siku yake muhim, kwa kufunga ndoa na mpenzi wake, ambae
leo hii tunamuongelea kama mkewe, Bi Fatma Salum.
Ndoa hiyo ilifungwa majira ya Saa nane mchana maeneo ya Mwananyamala
jijini Dar es Salaam, na kuhudhuriwa na watu kibao
wakiwemo marafiki, ndugu na jamaa.
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment