Bia ya Kilimanjaro yakutana na Wahariri wa Michezo kuzungumzia uzinduzi wa kampeni mpya ya 100% Tanzania Flava jijini Dar
Meneja wa Bia ya
Kilimanjaro,George Kavishe akizungumza na Wahariri wa Habari za Michezo
(hawapo pichani) kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya New
Afrika,Jijini Dar es Salaam asubuhi hii wakati wa semina ya siku moja
ya inayohusu uzinduzi wa kampeni mpya ya Bia hiyo ifahamikayo kama 100%
Tanzania Flava.
Meneja wa Habari wa
Kampuni ya Executive Solutions ambao ndio waandaaji wa Semina ya
Wahariri wa Habari za Michezo,Mike Mukunza akizungumza na Wahariri hao
asubuni hii.

Mhariri wa Habari
za Michezo wa Gazeti la Champion,Saleh Ali akichangia mada katika
Semina hiyo.
Mhariri wa Habari
za Michezo wa Radio One,Maulid Kitenge akichangia mada katika Semina
hiyo.

Baadhi ya
Wahariri wa Habari za Michezo wakiwa kwenye Semina hiyo asubuhi hii.
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment