SHILOLE NA STAILI MPYA YA NYWELE

SHEBBY D BLOG

Msanii wa Bongo movie na muziki wa Bongofleva hapa Bongo Shilole aka mtoto mzuri amebadili staili ya nywele kwa kukata nywele.Shilole alisema kuwa alikata nywele siku ya Jumapili ikiwa ni muenekano wake wa mwaka 2013

Comments