Taarifa
iliyoripotiwa january 15 2013 imeeleza kwamba kwa sasa Nigeria
imeteuliwa kuwa makao makuu ya dini inayomuabudu shetani.
Nigeria, Ghana na South Africa ndio nchi zinazotajwa kuongoza kwa kuwa na waumini wengi wa dini inayomuabudu shetani Afrika.
Imeelezwa kwamba kuteuliwa kwa Nigeria kuwa makao makuu ndio sababu nyingine pia ya mauaji na umwagaji damu unaoendelea kwa sasa.
Inaaminika damu na kafara za kuuwa ndugu wakiwemo wazazi na jamaa wa karibu ndio sadaka muhimu ya dini hiyo, umeripoti mtandao wa IRL.

Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment