MSANII OMARI OMARI AFARIKI DUNIA

 
OMARI OMARI

.Msanii wa miondoko ya mchiriku Omari Omari omefariki dunia leo . Chanzo cha kifo chake inasemekana alikwa anasumbuliwa kifua.

Msanii Omari Omari alitamba na nyimbo kama vile kupata ni majaliwa na nyingine nyingi. 


Comments