KIWANDA CHA CHEMICOTEX-AFRICANA, DAR CHATEKETEA KWA MOTO .......


Kiwanda cha ChemiCotex kilichopo huko Africana njia ya Tegeta jijini Dar es Salaam kinawaka moto muda huu, saa kumi na mbili jioni.

Wadau wetu  wakiwa katika eneo la tukio wametutumia  picha hizi.





Comments